MAONI YAKO!!! Kama Ungekuwa na Nguvu Hiyo, Taja Msanii Mmoja Ambaye Ungeagiza Aache Muziki

Comment

Hakuna shaka kuwa Tanzania imebarikiwa na ina vipaji vingi linapokuja swala la Muziki na burudani. 

Ndio tuna vipaji vingi vyenye ubunifu ,ila kuna wasanii wengine vipaji vyao ni sifuri na bado hawataki kuacha muziki na kuwaachia nafasi wale wenye vipaji vyao.

Ndio maana tumeleta mada hii ili nawe uweze kutoa MAONI YAKO.

Sasa, twende!!! Kama ungekuwa na nguvu hiyo, Taja Msanii Mmoja Ambaye Ungeagiza Aache Muziki.

Tone maoni yako na sababu ya maamuzi hayo.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post