Elimu

Maneno/Misamiati adhimu ya Kiswahili-Kiingereza

Habari wana mediahuru!

Lengo la mediahuru ni kuelimisha na kuburudisha wadau wake. Leo nipo kielimu zaidi, hapa nimekuwekea maneno ya kiswahili ambayo watu wengi hawayatumii na maana zake kwa kiingereza.

Karibuni tujifunze kwa pamoja kama mada inavyojieleza.

Tarakilishi=Computer.
Mtandao=Network.
Mdahalisi=Internet.
Barua pepe=E-Mail.
Tovuti=Website.
Peruzi=To surf.
Nukushi=Fax.
D.N.A=Shanga za urithi.
Uhandisi wa maumbile=Genetic Engineering.
Bioanuai=Biodiversity.
Kupachiza=Cloning.
Seli asili=Stem cells.
Tajiriba=Experience.
Kikokotozi=Calculator.
Kadi sakima=Memory card.
Kiweo=Windows.
Kadiwia/Mkamimo=Sim card.
Kioto motela=ATM.

Karibuni sote.

SOMA NA HII:  Kenya yatengeneza satelaiti yake kurushwa anga za juu Machi mwaka huu

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako