Home Nyingine Maneno Hayo !! Diva na Godzilla watoleana siri hadharani

Maneno Hayo !! Diva na Godzilla watoleana siri hadharani

0
0

Baada ya rapa Mwana FA kutoa maoni yake kwenye segment ya 255 ya Clouds FM kuwa Rapa GK amepotea kwenye Ramani ya Muziki kwa vitu viwili labda ni zali tu au anafanya muziki wa zamani.

Godzilla alitweet “I think him dating diva” kwa maneno hayo mtangazaji wa Clouds FM, Diva na Godzilla wakaanza kubadilishana maneno makali kwenye mtandao wa Twitter.

Soma hapa chini majibizano yao kwenye mtandao wa Twitter:

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *