Tech Poll

Ni Ipi Kati Ya Makampuni Haya Ya Teknolojia Utaacha Ipotee – Google, Facebook, Alphabet, au Microsoft?

Nimekutana na hii “tech poll” na kupata wazo la kukushirikisha, ili niweze kujua ni nini unafikiria kuhusu mada hii hapo juu.

Sasa, hebu fikiria kama unaweza kuokoa makampuni matatu tu ya tehama kati ya makampuni 4 makubwa Duniani- Niambie ni Kampuni gani ambayo wewe utakuwa tayari ipotee na toa sababu za kwanini hutaiokoa kampuni hiyo?

Je, ni Apple, Google, Facebook au Microsoft?

Tayari nimeshahisi ni kampuni gani wapenzi wa Android wataiacha ipotee.

Featured Image: Illustration by Shakena Thorton.
Source: CNN.

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako