Home Nyingine Maafisa 2 wa TRA mbaroni kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya

Maafisa 2 wa TRA mbaroni kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya

0
0

Watumishi Wawili wa Mamlaka ya Mapato (TRA) wanashikiliwa na vyombo vya dola wakituhumiwa kujihusisha na upitishaji Wa kemikali ambazo hutumika kutengenezea dawa za kulevya aina ya Heroin.

Kamishina wa Oparesheni wa Mamlaka ya Kuzuia na kupambana na dawa za kulevya,Mihayo Msikhela akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na baadhi ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali mapema leo

Kukamatwa kwa watumishi hao wa umma kumetangazwa  leo na Kamishina Wa Operasheni ya Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya Mihayo Msekela.

Akiongea na waandishi wa habari  Ijumaa hii kamanda huyo alidai operesheni hiyo imeweza kutekelezwa ipasavyo na wakuu wa mikoa mbalimbali, ambapo katika Operesheni hizo zinazoendelea nchini, ilionesha mafanikio kwa baadhi ya mikoa kama taarifa inavyoonesha hapa chini.

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *