Nyingine

[Lyrics] Mabundi by Big Jahman Feat Fid Q & Sarah.

Verse 1:Fid Q

Nishafutwa tongotongo na longolongo ile nginjenginje/

mbongombongo TU maneno ya shombo nje nje/

hadithi hadithi njoo.. Lakini uongo usije sije/

nipe mchongo kidogo mikogo songombinde/

Ngangangaa.. ishatait kamba.. umenipata maah!?/

Mzee baba nishaganga njaa.. /

Mpaka chaga Zinaona gere/

nakupeti kwa upanga uweze Mwaga chele/

aah.. ongezeni JOTO JOO-TO/

hili vanga la kikubwa sio KITOO-TO/

bundi bundi laza POPO/

hapa mziki hauzimwi mpaka KOKO-RIKO

CHORUS:

Mabundi mabundi sio mapopo uwooooh.. sio mapopo uwooouh.. sio
mapopo uwooooh x 2

Hili ngoma ni la wakubwa sio watoto/ na wanaokesha ni mabundi sio
mapopo../ ni mabundii..x2 Hili ngoma ni la wakubwa sio watoto/ na
wanaokesha ni mabundi sio mapopo../ Ni mabundii.. SIO MAPOPO.

. x2

Verse 2: JAHMAN

Wape lager/ wape bapa/

na wale sweetie sweetie wamwage radhi wanavyo taka/
Nyakanyaka..nyang’anyang’a kama nyama bado mbichi wape fish wakitaka/

wape chapaa/ wape masaa/ wapoze njaa kisha uone watavyo ng’aa/

usiweke tamaa / chagua anae kufaa faa/

kama hujamjua basi popote unaweza kaa kaa…./

ongezeni JOTO JOO-TO/ hili vanga la kikubwa sio KITOO-TO/

bundi bundi laza POPO/

hapa mziki hauzimwi mpaka KOKO-RIKO

Verse 3:SARAHA

Rastaman najua umenisoma/

mie ndio yule binti aliyenona/ akipita.. Kwenye kona/

mnamuita aje kuchoma/

kama ni party nyinyi mnataka.. urafiki bila uaminifu hapa ni NO/

njoo tule happy.. hakuna matata lakini kula bata inahitaji DOO/

ongezeni JOTO JOO-TO/ hili vanga la kikubwa sio KITOO-TO/

bundi bundi laza POPO/ hapa mziki hauzimwi mpaka KOKO-RIKO

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close