Elimu

Lugha gani itumike kufundishia Tanzania. Je, Kiswahili au kiingereza?

Kuna watu wanasema kuwa lugha ya kufundishia kwenye mfumo wetu wa Elimu iwe Kiingereza kwa sababu Kiingereza ndo lugha ya dunia na uandishi wa vitabu mbali mbali na ugunduzi wa technologia nyingi ikiwepo kompyuta uko kwenye lugha ya kiingiereza.

Kwa upande wa pili, Wako wanaosema kiingereza isiwe lugha ya kufundishia kwenye shule na vyuo vyetu. Wao wanasema kiingereza ifundishwe kama lugha nyingine yoyote kama kifaransa, kireno, kiarabu nk ili watanzania wawasiliane na watu wengine duniani. Wao wanataka lugha ya kufundishia shuleni na vyuoni iwe kiswahili.

Wewe una maoni gani na kwa nini?

SOMA NA HII:  Watu 10,000 Kunufaika na Mafunzo ya Ujasiriamali na Tehema

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.