Intaneti

LinkedIn wametoa list ya makampuni ambayo watu wengi wanatamani kufanya kazi 2017

LinkedIn wametoa list ya makampuni ambayo watu wengi wanatamani kufanya kazi. Orodha ilitengenezwa kutokana na idadi ya mwingiliano uliofanywa kati ya watumiaji wa LinkedIn  na maelfu ya mashirika yanayopatikana kwenye jukwaa hilo.

Kama kawaida, idadi kubwa ya makampuni ya teknolojia yanashika nafasi za juu na nina uhakika 100%  kwamba huwezi kushangaa unapoona majina yao.

Ingizo moja la kushangaza ni kampuni inayosumbuliwa na kashfa- Uber. Hata hivyo, LinkedIn wametetea chati hiyo kwa kusema kuwa wanaotafuta kazi “wanaendelea kutuma maoni na maombi ya kazi” , ambayo yanaongezeka kila mwaka.

Bila ya wasiwasi, angalia Makampuni 25 bora zaidi kufanya kazi:

Rank Company Global Employees
#1 Alphabet 72,000
#2 Amazon 341,400
#3 Facebook 17,000
#4 Uber 12,000
#5 Apple 110,000
#6 Salesforce 25,000
#7 McKinsey & Co. 25,000
#8 LVMH 135,000
#9 L’Oréal 83,000
#10 Dell Technologies 145,000
#11 Cisco 73,000
#12 Tesla 30,000
#13 Oracle 135,000
#14 Seimens 351,000
#15 Unilever 169,000
#16 The Walt Disney Company 195,000
#17 Johnson & Johnson 126,000
#18 IBM 380,000
#19 Deloitte 244,400
#20 PepsiCo 264,000
#21 Accenture 401,000
#22 EY 250,000
#23 Schneider Electric 144,000
#24 Adobe 15,000
#25 GE 350,000

Kama ilivyo kwa marafiki zako:

Mimi nimeota nafanya kazi makao makuu ya Google (sasa Alphabet):

Kwa sababu maisha yanatokea.

SOMA NA HII:  Orodha ya njia za mkato za keyboard katika Mozilla Firefox

Lakini huu ni ushauri wangu kwa wenye ndoto:

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako