Nyingine

Lil Wayne ametangaza kujiunga na Roc Nation ya Jay Z [+Video]

Lil Wayne ametangaza kumalizana na Roc Nation ya Jay Z, sasa ni mmoja ya wasanii wa familia hiyo.

Rapper huyo amethibitisha kwa mara ya pili katika show ya Slippery Rock University huko Pennsylvania.

“Is it cool if I just say it? Its the Roc. You know I’m a member of that team now,” amesema Wayne kwenye tamasha hilo.

Wayne bado ana mgogoro na Cash Money kuhusu haki za album yake ambayo bado haijatoka “Tha Carter V”. Ingawa Roc Nation bado hawajatoa taarifa rasmi, ni sahihi kusema Birdman anapoteza moja ya wasanii aliofanya nao kazi kwa miaka mingi .

SOMA NA HII:  80% watashindwa mchezo huu: ni Glass gani itajazwa kwanza?

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.