Sambaza:

Document Foundation watengenezaji wa programu za bure kama LibreOffice na Document Liberation wametoa toleo jipya la LibreOffice 5.4 kwajili ya 64-bit na 32-bit.

LibreOffice

BetaNews imeripoti kwamba programu ya ofisi imekuja miezi sita baada ya kutolewa kwa LibreOffice 5.3.

Ripoti hiyo imesema kuwa LibreOffice 5.4 ni ya mwisho kutolewa kwenye familia ya 5.x. Ina maboresho kwenye muonekana na ufanyaji kazi, ikiwa ni pamoja na utangamano (compatibility) bora na Microsoft Office document formats.

Maboresho mapya ni pamoja na:

  • New colour palette based on the RYB model.
  • File format compatibility improvements, including better support for EMF vector images.
  • Higher quality rendering of imported PDF files.
  • OpenPGP key support for signing documents in Linux.
  • LibreOffice Writer adds new context menu items.
  • Support for pivot charts in Calc.
  • Create custom watermarks for documents.
  • Extra sheet protection options.
SOMA NA HII:  Je Kuna Programu ya Windows Unatamani Kuitumia Kwenye Simu ya Adroid ?

LibreOffice Productivity Suite 5.4 inapatikana kwajili ya Windows, Mac, na Linux.

Ningependa kusikia kutoka kwako, je umewahi kutumia programu ya LibreOffice ? Ina ubora gani ukilinganisha na Microsoft Office? niandikie hapo chini sehemu ya comment.

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Pendwa Wa Mediahuru Kila Siku Kwa Sababu Tunaaminika Katika Teknolojia.

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako