Nyingine

Kylie Jenner na Tyga watengana tena

Star ambaye pia ni mjasirimali , Kylie Jenner na mkali wa hiphop Tyga imeripotiwa wametengana tena . Kwa mujibu wa gazeti la People, rafiki wa karibu na wapenzi hao amesema:

‘They tend to take little breaks all the time and then get back together,’ adding: ‘It’s definitely possible they’ll work things out again.’

Wapenzi hawa wamekuwa pamoja tangu Kylie Jenner akiwa na miaka 16.

SOMA NA HII:  80% watashindwa mchezo huu: ni Glass gani itajazwa kwanza?

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.