Kylie Jenner afunika ndani ya Puma katika photoshoot mpya

Kylie Jenner ambaye ni brand Ambassador wa Puma anaonekana mzuri zaidi kwenye picha mpya za kampuni hiyo.

Puma wameweka picha hizo kwenye mitandao ya kijamii kwajili ya kutangaza bidhaa zao ikiwa na ujumbe huu:

‘Mad air. Don’t care. @kyliejenner sports the new Fierce Strap Flocking. #ForeverFierce.’

Leave a Reply