Subiri! Kwa Hiyo Ni Kweli Watu Wanatumia Simu Za Zamani Za Nokia Kama Sex Toys?!


Kwa wale ambao bado hawajasikia jambo hili, inaonekana baadhi ya wanawake wamegundua njia mbadala ya kufurahia matumizi ya simu za Nokia.

Wakala wa uchapishaji mtandaoni Agents of Ishq ilifanya utafiti kwa wanawake 100 kuhusu zana zao za kufanyia “masturbating” na kugundua kuwa idadi kubwa ya wanawake wanatumia Nokia 3310 kama “sex toy”.

Utafiti huo ulifanyika nchini India unaonyesha kati ya wanawake 100 waliofanyiwa utafiti, 17 kati yao wanatumika aina flani ya vibrator kujifurahisha wenyewe. Kitu cha kushangaza ni kwamba simu ya Nokia 3310 ilitajwa mara nyingi  kama chaguo sahihi.

Kwa wale ambao wanatilia shaka utafiti huu, unaweza kuingia kwenye mtandao wa Twitter kupata ushahidi wa ziada kama ni kweli watu wamegundua njia mpya ya kutumia simu hii zaidi ya kupiga simu na kuchea game la nyoka.

Mtu yeyote Akinunua Nokia 3310? Hatutauuliza Kwa nini.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA