Sambaza:

Baada ya uhuru mwaka 1961, lugha ya Kiswahili ilisambaa na kukua zaidi nchini Tanzania kuliko sehemu nyingine Afrika Mashariki. Je, ni sababu zipi zilizopelekea hili?

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

This article has 1 comment

  1. Juliet Reply

    Duuuh umenikumbusha zamani sana kipindi nipo shule ila kuna sababu bado nazikumbuka kama kutumika kama lugha ya taifa, kuanzishwa kwa vyombo vya kukuza lugha ya kiswahili mf. TUKI ,TAKILUKI nk, kenya na uganda kulikuwa na ukabila (tribalism), Vyombo vya habari vilitumia kiswahili, kilitumika katika shuhughuli za kiserikali.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako