Home Nyingine Kwa Upande Wako,Ni Nani Mwimbaji bora wa Kike wa RnB?

Kwa Upande Wako,Ni Nani Mwimbaji bora wa Kike wa RnB?

0
0

Tanzania ina waimbaji wengi wa R&B wakike na kiume. Ukiangalia kwa upande wa wanaume kuna Jux, Ben Pol, Belle 9, Barnaba, Damian Soul na wengineo.

Sasa tuangalie kwa upande wa waimbaji wa R&B wa kike, nao pia wapo wengi kama Maua Sama, Linah, Recho, Vanessa Mdee, Grace Matata, na wengineo.

Waimbaji wa kuwatazama kwa sasa ni hao niliowaweka kwenye artwork hapo juu.

Wasanii hao 4 ni moja ya wale wanaotupa kile tunachohitaji kwenye nyimbo zao na kuleta furaha ya moyo.

Swali ni- Ni nani mkali wa R&B kwa upande wa wanawake?

Toa maoni yako!!!!

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *