Habari za Teknolojia

Kwa Picha: Kenya yaandaa mashindano ya U18

Mashindano ya ubingwa wa dunia kwa vijana wasiozidi umri wa miaka kumi na nane yatang’oa nanga jijini Nairobi Kenya Jumatano. Mashindano hayo yatawashirikisha wanariadha takriban 800 kutoka kwa nchi 131.

Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *