Nyingine

‘Kwa Nini Sitachezesha Kikosi Dhaifu Dhidi Ya Chelsea’- Mourinho

Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho, ameapa kuchezesha timu yenye nguvu, watakapo wakaribisha viongozi wa Ligi Kuu Chelsea, kwenye uwanja wa Old Trafford Jumapili hii.

United wamesafiri kwenda Ubelgiji kucheza na Anderlecht kwenye Europa League, kabla ya mechi dhidi ya bingwa mtarajiwa. Hiyo itafatiwa na mechi ya marudiano dhidi ya Anderlecht kwenye uwanja wa nyumbani. .

Pamoja na mechi ngumu zinazo wakabiri, Mourinho anasema yeye bado hajakata tamaa kumaliza katika nafasi nne za juu na kila fixture iliyobaki ataipa umakini mkubwa.

United wapo nafasi ya tano kwenye ligi na wameachwa points nne na Manchester City iliyopo nafasi ya nne ila wanamchezo mmoja mkononi.

Mourinho amesema:

“When it is still mathematically possible to finish in the top four I think if we play against Chelsea with our second team you would kill me. The football country would kill me,” .

“There is no reason not to try while it’s mathematically possible. If on a certain moment of the season we have no chances to get top four and we are still in the Europa League then nobody can criticise.”

SOMA NA HII:  Kuwa mkweli! Jina gani umetumia ku-save namba ya simu ya mama yako?

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako