Nyingine

Kwa nini movie za kibongo zinaboa ?

Habari wadau, huwa unaangalia movie za kibongo ? , je zina ubora unaotakiwa ? . Naomba niwaulize wadau humu ndani kwa nini movie za kibongo zinaboa.

Ni wazi, tasnia ya filamu hapa Tanzania inasuasua na waigizaji wa filamu hizi ni kama wamekata tamaa na kuhamia kwenye tasnia zingine.

Tatizo lipo wapi ? Toa maoni yako.

SOMA NA HII:  Idara ya Habari (MAELEZO) Yapokea Msaada wa Vifaa Kutoka Ubalozi wa China

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako