Sambaza:

Tazama hapa takwimu za soko la kimataifa la injini za utafutaji (search engine) zilizopangwa kwa majukwaa (platforms) mnamo Februari 2017. Ukweli ni kwamba hakuna kampuni inayoikaribia Google – hakuna jukwaa la kiteknolojiaa lenye watumiaji wengi duniani kama Google.

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako