Kwa mujibu wa Google, Hizi ni Apps Bora Zaidi


Google sasa imeanzisha uteuzi mpya wa apps bora. Lengo ni nini? Ili kutoa nafasi zaidi kwa app na games ambazo hazijawekwa nafasi za juu kwenye tovuti ya Playstore. Mediahuru tumekuandalia orodha ya app za Android zilizochaguliwa na Google msimu huu ili uweze kuzijua na kuzipata kwa urahisi .

Android Excellence: ni nini?

Ilizinduliwa mwaka jana, Android Excellence inatoa orodha ya games na apps bora. Google inazipa fursa zaidi programu “ambazo zimeonyesha ubora wa hali ya juu, uzoefu mkubwa wa mtumiaji, na utendaji wa kiufundi wenye nguvu.”

Jambo la kuvutia zaidi ni kwamba orodha hii inaboreshwa mara kwa mara, na wanadamu, sio algorithms! Google inafuata hatua za Apple kwa kuendeleza sera ya uhariri (editorial policy) kuhusu programu zake na vitu vyote vinavyopatikana bure kwenye Google Play Store.

Kwa Mujibu wa Google Orodha Itaboreshwa Kila Baada ya Miezi Mitatu / © Google

Hawa ni Washindi

Kwa uteuzi wa kwanza, Google imechagua programu zifuatazo, ikiwa ni pamoja na apps na games:

Chanzo: Google

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA