Kuwa Mwaminifu;- Unakumbuka Shule ya Msingi ? Nitajie Maksi Zako !

Linapokuja swala la kufanya mtihani wa hesabu, enzi za shule ya msingi wengi jasho jembamba lilikuwa linawatoka si kwa kupenda ila ni kutokana na ugumu wa somo lenyewe kwenye vichwa vya wengi wetu nikiwemo na mimi.

Tuambie ulikuwa unapata ngapi kwenye mtihani wa somo hili ?

SOMA NA HII:  Je, wanawake wanapuuzwa katika mazingira ya teknolojia ya Tanzania?

COMMENTS

WORDPRESS: 0