Nyingine

Kuwa mkweli! Jina gani umetumia ku-save namba ya simu ya mama yako?

Kila mtu anampenda mama yake, bila shaka!

Hata hivyo, muda mwingine, wakati wa kusave namba zao kwenye Simu zetu, tunajaribu sana kuonyesha upendo na kiasi gani tunawapenda, hili huonekana kupitia majina tunayotumia kusave mawasiliano yao.

Swali hili ni kwa watembeleaji wote wa mediahuru.


Mimi β‡’ Nimesave namba ya simu ya mama yangu kwa jina laΒ  β€œNuruYaDunia” mama yangu alishafariki ila siwezi kufuta namba yake kwa sababu inanikumbusha vitu vingi kila ninapoiona.

Vipi Kuhusu Wewe?

Toa maoni yako.

SOMA NA HII:  Marufuku Matumizi ya Takwimu za Kampuni ya Geopoll - Dkt. Mwakyembe

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako