Nyingine

Kutoka Kwa Wananchi: Kero na Vitendo Vya Kifisadi Vinavyoendelea Nchini…

Ndugu zangu Watanzania,

Wengi tumeishachoshwa na vitendo vya kifisadi, rushwa, wizi, ubadhilifu wa mali za umma na kero nyingi katika huduma za kijamii.

Nchi yetu imetafunwa na inaendelea kutafunwa na wajanja wachache ni wakati sasa tuseme imetosha tuungane na  tumsaidie Rais na Serikali yake katika vita hii ngumu ili kwa pamoja tupate ushindi.

Kueleza kero zetu na yanayotusumbua kama watanzania itasaidia kuweka wazi maovu yanayoendelea nchi.

Karibuni sana.

MWONGOZO:
Elezea kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) itapendeza zaidi.

Ni jukumu letu sote kuijenga nchi yetu ya Tanzania.

SOMA NA HII:  Je una bashiri "kubeti" ili kujikwamua na matatizo ya kimaisha ?

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako