Nyingine

Station mpya ya redio imeanzishwa jijini Dar es Salaam “103.3 Dar”

Station mpya ya redio imeanzishwa jijini Dar es Salaam. Inapatikana kwenye masafa ya 103.3 (zamani yalikuwa yakitumiwa na BBC).

Kwa mujibu wa poster iliyowekwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, station hiyo kwa sasa inapiga muziki peke yake , bado haijajulikana itatumia jina gani.

SOMA NA HII:  Jinsi ya Kuepuka Makosa 5 Yanayofanywa na Wamiliki wa Website

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.