Jinsi ya Kuondoa “This copy of windows is not genuine” Kwenye Kompyuta Yako


Kuondoa ujumbe wa “This copy of windows is not genuine” kwenye Microsoft windows ni rahisi sana. Ikiwa ume-install pirated Windows OS, itafanya kazi kwa miezi kadhaa tu. Baada ya hapo, itaanza kuonyesha ujumbe wa This copy of Windows is not genuine na skrini yako inaweza isionyeshe kitu kingine (blank screen).

Kumbuka: Utaratibu huu haubadilisha OS isiyo halisi kuwa halali (nongenuine OS kuwa genuine). Inakuwezesha kutumia nongenuine OS bila matatizo na kufanya sasisho. Ikiwa unataka Genuine OS lazima ununue OS halisi kwenye Duka la Microsoft tu.

copy-windows-genuine

Napendekeza kwamba, Usinunue Windows OS kwenye huduma zingine zisizo za Microsoft. Kwa sababu nimeona maoni mengi katika chapisho hili kwamba watu wengi kompyuta zao zinaonyesha non-genuine error, ingawa wanatumia OS ya awali (original OS) ambayo ilinunuliwa kutoka kutoka kwenye maduka ambayo sio ya Microsoft (maarufu kwa jina la third-parties). Hivyo nunua Windows kwenye Microsoft Windows store tu. Ili, ikiwa unapata tatizo lolote baadaye, Microsoft iweze kukusaidia. Kama hutaki kutumia fedha zako, basi endelea kusoma makala hii.

Kuondoa ujumbe wa “This copy of Windows is not Genuine”

Njia hii itafanya kazi kwa matoleo 32 bit na 64-bit ya Windows 7. Lazima ufuate hatua tatu hapa chini ili kuondokana na hitilafu hii. Hutaona ona ujumbe huu baada ya hatua ya pili hata ni lazima ufuate hatua ya tatu. Vinginevyo, kompyuta yako inaweza kuonyesha hitilafu hii tena.

Hatua ya 1: Uninstall Update KB971033

Unapoona ujumbe wa “this copy of windows is not genuine,” hiyo inamaanisha windows yako ina updated file ambayo inaweza kuchunguza Windows OS yako. Kwa hiyo kabla ya kuingia katika hatua kuu, Lazima uondoe (uninstall) sasisho ambalo linatambua windows yako. Kumbuka, ikiwa utaona sasisho lililotajwa, basi unatakiwa kuifuta tu. Ikiwa hauoni sasisho hili, unaweza kuruka hatua hii. Fuata hatua zilizopo hapa chini ili uondoe sasisho la Windows (uninstall Windows update).

  • Fungua control panel.
  • Nenda sehemu ya windows update.
  • Bofya kwenye view installed updates.
  • Baada ya kuonyesha installed updates zote zilizomo kwenye kompyuta yako, tafuta “KB971033” na kisha uninstall.
  • Restart PC yako. Anza upya PC yako. Ikiwa hutaona sasisho lililotajwa, hutakiwi kufuta sasisho lolote. Unaweza kuruka hatua hii na kuendelea hatua ya pili.

Hatua ya 2: Tumia SLMGR -REARM command

Sasa hebu tuangalia jinsi ya kuondoa Windows not genuine error.

1.Nenda kwenye Start Button kupata Start Menu.

2.Unatakiwa kuandika cmd kwenye uwanja wa ufautaji.

3.Utaona chaguo la command prompt. Right click Command prompt. Chagua Run as Administrator.Unatakiwa kutumia command prompt na administrator privileges vinginevyo command haitafanya kazi.

4.Andika SLMGR -REARM (SLMGR ni chombo ambacho kinasimamia leseni ya programu ya Windows. REARM ni command ambayo inareset hali ya leseni ya mashine yako.) Kisha bonyeza Enter.

5.Utaona window, Bonyeza OK.

6.Restart PC yako. Sasa hutaona ujumbe huu tena. Ikiwa command hii haijafanya kazi, unatakiwa kujaribu SLMGR / REARM.

SLMGR -REARM inapaswa kufanya kazi kwenye Windows 32 bit version. Inaweza kufanya kazi kwa toleo la Windows 64 bit. Ikiwa haikufanya kazi kwenye toleo la Windows 64 bit, basi jaribu kutumia SLMGR / REARM.

Hatua ya 3: Zima Updates

Hautumia original OS, kwa hivyo huna mamlaka ya kupata sasisho. Na inatakiwa uzima masasisho. Vinginevyo, utaona tena ujumbe huu wakati mwingine. Ikiwa hujazima sasisho, OS itapokea updates. Sasisho yoyote ile ya hapo baadaye inaweza kugundua OS Genuity yako. Kwa hiyo kuna dalili kwamba ujumbe huu utarudi tena. Fuata utaratibu hapa chini ili  ya kuzima sasisho.

  • Nenda kwenye Control Panel.
  • Bonyeza Windows Update.
  • Bonyeza Install updates automatically(Recommended).
  • Chagua Never Check for Updates(Not recommended).

Ikiwa skrini yako inakuwa tupu hata baada ya kutumia hatua zilizoainishwa hapo juu, badilisha tu background katika system properties.

Ikiwa ujumbe huo unaendelea kuwepo hata baada ya kufuata hatua hapo juu, unatakiwa ku-reinstall Windows 7 kutoka kwenye CD / DVD yoyote ile na kufuata hatua nilizozielezea hapo juu kwa umakini. Kisha hautaona tena ujumbe wa This copy of Windows is not genuine.

Kama umependa suluhisho hili la kuondoa This copy of windows is not genuine, tafadhali sambaza makala kwa watu wengine.  Na kama unataka vidokezo vingi, unaweza kujiunga nasi kwenye Facebook, Google+ na Twitter.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA