Kujiunga na SportPesa Kwa Njia ya Tovuti na Jinsi ya Kubeti


SportPesa ni moja ya jukwaa namba maarufu ya la kubet Afrika! SportPesa inakuwezesha kutabiri na kuweka bet kwenye mechi unayoipenda.Inatoa nafasi ya kutabiri kwa michezo ya kitaifa na kimataifa.

Unaweza kuweka bet zako kwa njia ya sms kwenda 15888, au kupitia Programu/app ya android ya SportPesa, au mtandaoni kwenye www.sportpesa.co.tz au kupitia USSD kwa kupiga 15087#. Unaweza kuweka bet zako ukiwa mahali popote, kabla ya filimbi ya kwanza ya mwamuzi kwa ajili ya masoko ya kabla ya mechi au kucheza moja kwa moja kwenye masoko ya kubet mubashara.

Kujisajili kwa njia ya Tovuti

Kwanini nijisajili na SportPesa?

Kujisajili kunakuruhusu kufungua akaunti na Sportpesa bila ya malipo wala wajibu. Akaunti yako ya SportPesa itasaidia kusimamia bet zako na maelezo mengine ya akaunti. Unahitaji kuweka fedha halisi katika akaunti yako kabla ya kuweka bet.

Bet kwa njia ya Tovuti

Namna gani naweza kuweka bet?

Sasa unaweza kutabiri matokeo ya mechi yoyote iliyopo kwenye Tovuti ya SportPesa.

Unaweza kuchagua chaguo lolote la kubet kutoka kwenye eneo kubwa la soko la awali la mechi na soko la kubet mubashara lililopo kwenye michezo mbalimbali na kuweka bet yako.

Kumbuka: Chaguzi zote za kubet zinaonyeshwa na kuelezewa kwenye ukurasa pamoja na masoko

Namna gani naweza kuweka Bet Moja?

Sasa umejisajili na akaunti yako imetengenezwa, tafadhali hakikisha umeingia kabla ya kuweka bet yako.

Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kuitumia, unachohitaji kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaokuvutia yaani Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi ambazo unataka kuwekea bet.

Kuweka bet moja, bofya kwenye timu unayotabiri kushinda. Bofya ama kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyowekwa ya pili).

Kama ungependa kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchagua X (SULUHU).

Kama ungependa kutabiri masoko ya ziada, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi ambalo huoneshwa kama (+12, +2, +8 nk) mbali na mchezo unaotaka kuwekea bet, ili kupata chaguzi za kubet zilizopo.

Mara baada ya kuchagua utabiri wako, Mkeka utajitokeza kukuonesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha kubet chini ya mkeka, ambayo inaweza kurekebishwa kulingana na kiasi unachopenda kufanyia bet.

Kumbuka kwamba unaweza kuhariri bet yako iliyopo kwenye kikapu ili kujithibitishia kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.

Kama unataka kuondoa bet yote na kuanza upya, bonyeza “ONDOA ZOTE”

Bonyeza kwenye “WEKA BET” ili kuweka bet.

Ujumbe wa kukuomba ku “THIBITISHA BET YAKO” utaonekana. Unaweza ku “FUTA” na kurudi nyuma kwenye mkeka wako, au kubofya “SAWA”.

Baada ya kubofya “SAWA” ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:

 • Mchezo uliochagua
 • Utabiri wako
 • Aina ya bet ulizoweka – Multibet
 • Kiasi cha bet ulichoweka
 • Bet namba yako
 • Kiasi unachoweza kushinda
 • Salio lako la akaunti ya Sportpesa

Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kwenye Historia ya Kubet kwa kubofya kwenye “Tazama Historia”. Pia utapokea ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako ya kiganjani kutoka 15888 kuthibitisha bet ile ile.

Namna gani naweza kuweka Bet Nyingi?

Sasa umejisajili na akaunti yako imeshatengenezwa, tafadhali hakikisha umeingia kabla ya kuweka bet zako.

Tovuti ya SportPesa ni rahisi kutumia, unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaopendelea yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi unazotaka kuwekea bet nyingi.

Ili kuweka bet nyingi, bofya kwenye timu ambayo unatabiri itashinda ama timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au Timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili)

Kama utataka kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchaguwa X (SULUHU)

Kama unatka kutabiri kwenye masoko zaidi, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi lilioonyeshwa kama (+12, +2, +8 n.k) zaidi ya michezo unayotaka kuwekea bet ili upate chaguzi zaidi za kubet.

Mara baada ya kuchagua tabiri zako, Mkeka utaoneka ukionesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha fedha chini ya mkeka, ambacho kinaweza kubadilishwa kulingana na kiasi ambacho ungependa kubet.

Kumbuka kuwa unaweza kuhariri bet zako zilizopo kwenye mkeka kuhakikisha kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.

Kama utataka kutoa bet yote na kuanza upya, bofya kwenye ONDOA ZOTE

Bofya kwenye ‘WEKA BET’ ili kuweka bet yako.

Ujumbe utatokea utakaokuomba ku “THIBITISHA BET YAKO”. Sasa unaweza kubofya kwenye “FUTA” na kurudi kwenye mkeka wako, au kubofya “SAWA”.

Baada ya kubofya “SAWA” ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:

 • Michezo uliyochagua
 • Utabiri wako
 • Aina ya bet ulizoweka – Bet Nyingi
 • Kiasi unachotaka kubet
 • ID ya Bet yako
 • Uwezekano wako wa kushinda
 • Salio la akaunti yako ya SportPesa

Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kweye Historia ya Bet yako kwa kubofya kwenye “Tazama Historia”

Pia utapata ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako kutoka 15888 kuthibitisha hilo.

Namna gani ya kuweka Bet ya Jackpot?

Hatua ya 1

Ingia kwenye akaunti yako ya SportPesa na bofya kwenye bango lililopo juu ya skrini yako.

Hatua ya 2

Ili kuweka bet ya Jackpot, bofya kwenye timu unayotabiri ishinde. Bofya kwenye ama timu ya Nyumbani (timu iliyotajwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili).

Kama unataka kutabiri kuwa matokeo ya mchezo yatakuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili na chagua X (SULUHU).

Chagua utabiri wako kwa michezo yote 13 ya Jackpot.

Mkeka utatokea ukiwa na utabiri wako wote.

Kwenye mkeka, utaweza pia kuona namba za mchanganyiko uliofanyika. Kama haujaweka bet ya mchanganyiko, idadi ya mchanganyiko itakuwa 1.

Hatua ya 3

Bofya kwenye weka bet

Hatua ya 4

Bofya SAWA kuthibitisha au Futa kukataa.

Ujumbe utatokea kwenye skrini yako kuthibitisha uwekwaji wa bet yako ya Jackpot.

Kumb 1: Utashinda endapo utabiri wako wote 13 utalingana na matokeo ya michezo. Jackpot hugawiwa sawa sawa kwa washindi wote.

Kutoa kwa njia ya Tovuti

Namna gani naweza kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yangu ya SportPesa?

Kupata fedha zako ni rahisi kama kuweka fedha zako. Tunatarajia utakuwa umefanikiwa katika ubashiri wako na unataka kuhamisha fedha kwenda kwenye akaunti yako ya simu.

Bofya kwenye kiungo cha kutoa kwenye kidirisha cha juu kulia kwenye tovuti.

Akaunti yangu kwa njia ya Tovuti

Namna gani naweza kuangalia Salio Langu?

Hii inaoneyeshwa kwenye kidirisha cha juu kulia kwenye tovuti.

Namna gani naweza kuingia kwenye akaunti yangu ya SportPesa?

Mara baada ya kujisajili unaweza kupata akaunti yako ya SportPesa kwa kuingiza namba yako ya simu kama JINA LA MTUMIAJI na NENO LA SIRI LA TOVUTI kama NENO LA SIRI.

Namna gani naweza kuangalia miamala yangu kutoka kwenye akaunti yangu ya SportPesa?

Ukiingia kutumia jina na neno la siri la akaunti yako, na kubofya kwenye “Miamala” utaona miamala yako yote. Unaweza kuchagua kuchuja kutoka siku hadi siku.

Namna gani naweza kuangalia bet zangu kutoka kwenye akaunti yangu ya SportPesa?

Ukiingia kutumia akaunti yako na kubofya kwenye “Historia ya Bet” utaona “Bet amilifu /zisizo amilifu”

Chanzo : sportpesa.co.tz

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA