Jinsi ya kujisajili kubashiri SportPesa Tanzania


Sportpesa haina mawakala wala vituo inachezeshwa kwa njia ya online au meseji. Unatakiwa kujisajili ndio uweze kucheza. Samahani fwata maelekezo yafwatayo ili uweze kucheza mchezo ya kubashiri. Ili uweze kucheza na sportpesa lazima ujiunge kwanza kwa njia ya mtandao au meseji. Kujisajili ni bure kabisa.

Kujisajili kwa njia ya mtandao, fuata hatua hizi nyepesi:

Hatua ya 1

Kujisajili tembelea http://www.sportpesa.co.tz , chagua “Sajili Sasa” kwenye kona ya upande wa juu KULIA wa tovuti. Kisha sajili akaunti, Thibitisha ya kwamba umekubaliana na vigezo na masharti. Bonyeza “pata namba ya usajili” ili upate kwenye simu ya yako kwa ujumbe mfupi.

Hatua ya 2
Jaza namba yako ya Simu na Namba ya Usajili ILIYOTUMWA KWENYE NAMBA YAKO YA SIMU, ili kukamilisha usajili wa akaunti yako.

Hatua ya 3
Ujumbe wa uthibitisho utatokea, utakao thibitisha usajili wako kikamilifu.

Kujisajili kwa njia meseji , fuata hatua hizi nyepesi:

Hatua ya 1

Iwapo unasajili kwa njia ya SMS andika neno GAME tuma kwenda 15888, utapokea ujumbe wenye maelekezo ya kwenda kusoma vigezo na masharti. Ukikubaliana nayo tuma neno KUBALI kwenda 15888 hapo utapokea ujumbe wenye namba ya kampuni, nambari yako ya siri na namba yako ya simu. Hakikisha kwa sasa namba yako iwe ya Airtel Tigo au Vodacom peke yake.

Hatua ya 2

Baada ya kusajili inabidi uweke pesa kwenye akaunti yako ya sportpesa kwa maelekezo yafwatayo:

Vodacom:

 • Bofya *150*00#
 • Chagua 4 – LIPA kwa MPESA
 • Chagua 4 – Weka namba ya kampuni
 • Weka Namba ya Biashara – 150888
 • Weka namba ya kumbukumbu ya malipo
 • Weka Kiasi
 • Weka Namba ya siri
 • Bofya 1 kukubali au 2 kukata: Lipa XXX Tsh kwenda SPORTPESA kwa akaunti (namba ya kumbukumbu)
 • Umefanikiwa kufanya malipo

Airtel:

 • Bofya *150*60#
 • Chagua 5 – Lipia Bili
 • Chagua 4 – Weka namba ya kampuni – 150888 or Sportpesa
 • Weka kiasi
 • Weka kumbukumbu
 • Weka Namba ya siri
 • Umefanikiwa kufanya malipo

Tigo

 • Bofya *150*01#
 • Chagua 4– Lipia Bili
 • Chagua 3 – Weka namba ya kampuni – 150888
 •   Weka kumbukumbu ambayo ni neno SPORTPESA
 • Weka kiasi
 • Weka Namba ya siri
 • Umefanikiwa kufanya malipo

Jinsi ya kucheza sasa

Tuma bet yako kwenda 15888 kama ifuatavyo: XXXX#1#1000 ushindi timu ya 1, XXXX#X#1000 kutoka suluhu, XXXX#2#1000 ushindi timu ya 2.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA