Kubeti

Jinsi ya Kujisajili Kuweka Pesa Kubet Kutoa Pesa na Akaunti ya Sportpesa kwa Njia ya Ujumbe “SMS”

on

SportPesa ni moja ya jukwaa namba maarufu ya la kubet Afrika! SportPesa inakuwezesha kutabiri na kuweka bet kwenye mechi unayoipenda.Inatoa nafasi ya kutabiri kwa michezo ya kitaifa na kimataifa.

Unaweza kuweka bet zako kwa njia ya sms kwenda 15888, au kupitia Programu/app ya android ya SportPesa, au mtandaoni kwenye www.sportpesa.co.tz au kupitia USSD kwa kupiga 15087#. Unaweza kuweka bet zako ukiwa mahali popote, kabla ya filimbi ya kwanza ya mwamuzi kwa ajili ya masoko ya kabla ya mechi au kucheza moja kwa moja kwenye masoko ya kubet mubashara.

Kujisajili kwa njia ya SMS

Kwanini nijisajili na SportPesa?

Kujisajili kunakuruhusu kufungua akaunti na Sportpesa bila ya malipo wala wajibu. Akaunti yako ya SportPesa itasaidia kusimamia bet zako na maelezo mengine ya akaunti. Unahitaji kuweka fedha halisi katika akaunti yako kabla ya kuweka bet.

Namna gani naweza kujisajili na SportPesa?

Kujisajili kwa njia ya SMS, fuata hatua hizi tatu rahisi:

Hatua ya 1

Kujisajili kwa njia ya sms tuma “Mchezo” kwenda 15888. Utapokea ujumbe wa uthibitisho wenye link itakayokupeleka kusoma Vigezo na Masharti kwenye tovuti ya SportPesa.

Mara baada ya kusoma na kuelewa Vigezo na Masharti, tuma “KUBALI” kwenda 15888 kukamilisha usajli.

Hatua 2

Baada ya kutuma “Kubali” kwenda 15888, utapokea ujumbe wa uthibitisho utakaokupa jina la mtumiaji, ambayo ni namba yako ya simu, namba ya siri yenye tarakimu 4 na namba ya Pay bill.

Mfano

  • SMS ya Kwanza: KARIBU SPORTPESA. Jina la mtumiaji ni XXXXXXXX. Namba yako ya siri ni YYYY. Pata MICHEZO MAARUFU kwenye www.sportpesa.com au andika MPIRA WA MIGUU kwenda 15888. SMS inagharibu 2/-
  • SMS ya pili: Tabiri na ushinde kwa hatua 2 rahisi. WEKA PESA kupitia Paybill 150888, Andika utabiri wako (GameID#Chaguo lako#Kiasi cha kubet) kwenda 15888. SMS inagharimu 2 TZS. Msaada saa 24:Piga 0764115588 / 0685115588 / 0692115588

Kuweka pesa

Namna gani ya kuweka pesa kwenye akaunti yangu ya SportPesa?

Ukishamaliza kujisajili, kuweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa ni rahisi, fuata hatua zifuatazo:

Hatua ya kwanza.

Fungua menu kwenye simu yako kisha tuma pesa kwa kutumia namba ya biashara iliyotumwa kwako wakati wa kujisajili.

  • Vodacom M-Pesa: 150888
  • Airtel Money: 150888
  • Tigo Pesa: 150888
SOMA NA HII:  Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet na Kutoa kwa kutumia M-PESA

Hatua ya pili.

Akaunti yako ya SportPesa itaongezewa pesa moja kwa moja. Kisha utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka SportPesa kwa muamala huo

Mfano: Umepokea TZS 500! Salio la akaunti yako ya S-PESA ni TZS500.

Mf. TZS 2000 imepokelewa! Salio kwenye akaunti yako ya S-PESA ni: TZS 2000.

Hatua ya tatu.

Sasa upo tayari kucheza. Anza sasa!

Tazama link hapo chini kupata taarifa zaidi kuhusu makato ya kuhamisha pesa kwa mitandao ya Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa.

Bet kwa njia ya SMS

Namna gani naweza Kuweka bet?

Sasa una nafasi ya kutabiri matokeo ya mechi yoyote inayopatikana kwenye jukwaa la SportPesa. Unaweza kuchagua chaguo lolote la kubet kutoka kwenye uwanja mkubwa wa masoko yaliyopo kwenye michezo mbalimbali na kutuma bet yako kwenda 15888.

Namna gani ya kuweka Bet Moja?

Fuata hatua hapo chini ili kuweka bet moja kwa njia ya sms

Hatua ya 1

SMS kwenda 15888 Game ID ambayo unataka kuwekea bet, utabiri wako na kiasi unachotaka kubet.

Mfano: 8692#2#2000 – ambapo “8692” ni Game ID, “2” ni utabiri wako kwa timu ya Ugenini kushinda, na “2000” ni kiasi cha kubet

Hatua ya 2

Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka 15888 kuonyesha namba ya Bet, kiasi cha kushinda na salio la akaunti yako ya SportPesa. Kiasi unachoweza kushinda kinahesabiwa kwa kuzidisha jumla ya Odds zako kwa kiasi cha kubet. (Mfn..2.36 * 100 = TZS 2360)

Mfano. Uliweka Bet namba 6934 ya Crystal Palace vs FC West Ham, 2. Kiasi: TZS 2000. KIASI UNACHOWEZA KUSHINDA TZS 2360. Salio la S-PESA: TZS 38093.

Hatua ya 3

Umeweka bet yako na unachohitaji kufanya sasa ni kukaa pembeni na kufurahia mchezo uliowekea bet yako.

Namna gani naweza kuweka Multi Bet?

Fuata hatua hapo chini ili kuweka Multi Bet kwa njia ya sms

Hatua ya 1

Tuma Game ID uliyochagua kwa njia ya SMS kwenda 15888, utabiri wako kwa ajili ya michezo hii, na kiasi unachotaka kubet. (Kumbuka kwamba Multi bet ina kiwango cha chini cha michezo miwili na kiwango cha juu cha michezo 20).

SOMA NA HII:  Dondoo za kubeti idadi ya magoli

Mfn. 1234 # 2 # 4534 # 1 # 7180 # X # 1350 ambapo 1,234 ni Game ID ya kwanza, 2 ni utabiri, 4534 ni Game ID ya pili, 1 ni utabiri, 7180 ni Game ID ya tatu na X ni utabiri. TZS 1350 ni kiasi cha bet kwa Multi bet.

Hatua ya 2

Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka 15888 kuonyesha namba ya Multi Bet, kiasi cha kushinda na salio la akaunti yako ya SportPesa. Kiasi cha kushinda kinahesabiwa kwa kuzidisha jumla ya Odds zako kwa kiasi cha kubet. (E.g.2.36 * 1.22 * 3.12 * 2000 = TZS 8980)

Mfn: Umeweka namba Multi bet 6955, Kiasi TZS 2000. Kiasi cha KUSHINDA: TZS 8980 Salio lako la S-PESA ni: TZS37958

Hatua ya 3

Bet yako imefanikiwa kuwekwa, unachotakiwa kufanya ni kukaa na kufurahia mchezo!

Kumbuka:

Ili kufuta bet, tuma neno “FUTA” ikifuatiwa na “#” na utapokea Bet namba ambayo ni tarakimu ya namba 4 katika ujumbe wa kuthibitisha, kwenda 15888. Kumbuka kwamba unaweza tu kufuta bet ndani ya dakika 10 baada ya kuiweka na kabla mchezo wowote wa bet yako kuanza.

Mfano: FUTA#2345 (ambapo 2345 ni Bet namba)

Namna gani naweza kuweka Bet ya Jackpot?

Hatua ya 1

Jackpot ina mechi 13 zilizochaguliwa awali ambazo huchezwa katikati ya wiki

Zawadi ya fedha kwa Jackpot huanzia TZS 200,000,000 na kiwango huendelea kuongezeka kila wiki endapo hatujapata mshindi.

Kuweka bet kwenye Jackpot, tuma SMS kwenda 15888 “JP” ikifuatiwa na ‘#’ kisha tabiri 13 za michezo ya Jackpot iliyochaguliwa awali.

e.g. JP#12121XX1212X1

Kumbuka: Hulazimiki kuweka dau kwasababu kiasi cha Jackpot ni TZS 2000.

Hatua ya 2

Utapokea ujumbe wa kuthibitisha kutoka 15888 ukionyesha Bet namba ya Jackpot, tabiri zote 13 ulizofanya, kiasi na salio la akaunti yako ya SportPesa.

Kumbuka: Unashinda endapo tabiri zako zote 13 zitalingana na matokeo ya michezo

Jackpot hugawanywa sawa sawa kwa washindi wote.

Bonasi zinatolewa kwa tabiri sahihi 10, 11 na 12

Unaweza kuweka bet nyingi kwenye Jackpot kadri utakavyo na kila bet itagharimu TZS 2000

Hatua ya 3

Bet za mchanganyiko mara mbili hufanya urahisi kuweka bet nyingi wakati mmoja badala ya kurudia mlolongo ule ule mara nyingi endapo utataka kuweka bet za Jackpot (JP) zaidi ya moja kwa njia ya sms.

SOMA NA HII:  Kuweka Mkeka "Kubeti" Njia ya Kutengeneza Pesa yenye Ugonjwa

Hii inakuruhusu kuweka bet yenye tabiri mbili kwenye mchezo mmoja, kwa mpaka michezo 7 iliyopo kwenye orodha ya michezo 13 ya Jackpot katika bet moja!

Kwa mfano: kama unataka kuweka tabiri 2 kwenye michezo 3 ya JP, utakuwa umeweka bet 8 kwa ujumla, yani 2^3 (2*2*2 = bet 8 za JP)

Mfano JP#1X#X#2#12#2#X#X#X#X#1#1#2X#1

Katika mfano hapo juu, tabiri 2 zipo katika mchezo wa kwanza, wa nne na wa kumi na mbili

Bet hii ni sawa na bet 8 za JP:

JP#1X212XXXX1121

JP#1X222XXXX1121

JP#1X222XXXX11X1

JP#1X212XXXX11X1

JP#XX212XXXX1121

JP#XX222XXXX1121

JP#XX212XXXX11X1

JP#XX222XXXX11X1

Namna gani naweza kufuta Bet?
Kufuta bet, tuna neno “Futa” ikifuatiwa na ‘#’ na ID ya Bet (ambayo ni namba ya tarakimu 4 uliyotumiwa katika ujumbe wa kuthibitisha) kwenda 15888

Kumbuka kuwa unaweza kufuta bet ndani ya dakika 10 za kuweka bet na kabla mchezo wowote uliowekea bet haujaanza).

Mfano. FUTA#2345 (ambapo 2345 ni ID ya Bet)

Kutoa Pesa kwa njia ya SMS

Namna gani naweza kutoa pesa?

Kutoa pesa zako ni rahisi kama kuweka pesa zako ndani.

Kwa mfano kama unataka kutoa TZS 1200 kutoka kwenye akaunti yako ya SportPesa, uta:

  1. Tuma sms kwenda 15888: W#1200#8888 – ambapo W inasimama kama Kutoa; 1200 ni kiasi cha pesa unachotaka kutoa na 8888 ni namba yako ya siri ya SportPesa uliyopokea wakati wa kujisajili.Kumbuka: Mfumo wa kutoa ni ule ule kwa mitandao ya watoa huduma wote wa simu, yaani, Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa.
  2. Utapokea ujumbe wenye uthibitisho kutoka 15888 na Akaunti yako ya simu (Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, etc) itaingiziwa pesa, utatumiwa ujumbe wa pili wenye uthibitisho kutoka kwa mtoa huduma wako.

Akaunti yangu kwa njia ya SMS

Namna gani naweza kuangalia salio langu?

SMS neno “SALIO” kwenda 15888 kuona una kiasi gani kwenye akaunti yako ya SportPesa. Utapokea ujumbe unaoonyesha salio la akaunti yako.

Mfano. Salio lako la S-PESA ni: TZS 2000/=

Kumbuka: Kama una muamala unaosubiri, salio la akaunti yako ya SportPesa halitojumuisha kiasi unachotaka kutoa.

Chanzo : sportpesa.co.tz

About Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Recommended for you

1 Comment

  1. John mkmk

    December 10, 2017 at 10:31 am

Leave a Reply

Your email address will not be published.