Top 10 Website Za Kudownload Movie na Series Mpya Kupitia Simu Yako


Je! Unapenda kuangalia sinema (movie) muda wowote ule? Basi utakuwa unapenda kupakua sinema za bure kwenye simu yako. Kwa hiyo, hapa kuna vyanzo kumi vya kupakua filamu za bure kwenye simu yako ya mkononi.

Hapa watumiaji wanaweza kubadilisha na kupakua filamu kwa urahisi huku kasi ya tovuti ikitegemea browser yako na kasi ya mtandao. Unaweza kufikia tovuti hizi za kupakua filamu kwa kufuata URL hizi hapa chini.
Top 10 Website Za Kudownload Movie na Series Mpya Kupitia Simu YakoTovuti hizi zinawezesha kupakua sinema katika muundo tofauti. Kwa hiyo, unasubiri nini. Soma makala yote, bonyeza kiungo (link) inayokidhi mahitaji yako na kupakua sinema kulingana na matakwa yako, zote bure kabisa.

MyDownloadTube.com

MyDownloadTube.com ni tovuti kubwa na ya kushangaza ya bure inayokuwezesha kupakua sinema katika simu yako ya mkononi. Si movies tu, pia inakuwezesha kushusha michezo mbalimbali katika smartphone yako.

Ina mkusanyiko mkubwa wa HD movies zinazoweza kupakuliwa kwa urahisi sana. Kingine zaidi ya hicho, unaweza pia kuangalia sinema kamili mtandaoni au kuangalia trailer kabla ya kupakua filamu.

WatchMoviesFree.TV

WatchMoviesFree.TV  ni tovuti nyingine nzuri niliyoipata hivi karibuni kwenye mtandao ambapo unaweza kuangalia sinema za ubora wa juu mtandaoni bila malipo. Ina mkusanyiko wa sinema kutoka nchi tofauti na aina tofauti tofauti.

MovieWatcher.io

MovieWatcher ni tovuti ya kustream na kupakua filamu ambayo inakuwezesha kuangalia na kupakua sinema za aina zote. Kwanzia za action na adventure hadi drama na comedy, unaweza kushusha sinema za bure kwenye MovieWatcher. Sio hilo tu, pia inakuwezesha kutazama vipindi vya TV bure kabisa.

WatchMoviesFree.US

WatchMoviesFree.US hii kimsingi ni tovuti ya kustream movie mtandaoni pia inaruhusu watu kutazama trailer za filamu. Lakini, nimegundua kuwa tovuti hii pia inaruhusu watumiaji kupakua sinema baada ya usajili. Sikujaribu, lakini unaweza.

GoMovies.cx

GoMovies.cx ni tovuti nyingine nzuri ambapo unaweza kushusha sinema zako unazozipenda kwenye simu yako ya mkononi. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti na kuchagua kupitia genre unayoipenda, nchi na ubora wa video.

GoMovies.at

GoMovies.at  ina vipengele vingi, filters za filamu, rating, IMDb hasa wana servers za kustream kwa haraka ambazo zina kusaidia kutazama sinema zako unazozipenda, zinaonyeshwa bila ya buffering. Unaweza pia kupakua filamu yako ili kuiangalia nje ya mtandao.

MySuperMovies.Com

MySuperMovies.com ni tovuti inayovutia sana ambapo unaweza kushusha sinema tofauti kwa kuchagua kikundi (category) unachokipenda. Baada ya kuchagua filamu, unatakiwa tu kubonyeza kitufe cha kupakua ili uanze kupakua. Sasa, angalia na furahia filamu na marafiki na wapendwa wako na kufanya uwe wakati mzuri.

MovieCrib.com

MovieCrib.com ni tovuti nyingine ambapo unaweza kupakua sinema za Bollywood, Hollywood na Marathi bure kabisa. Unaweza kuchagua movie yako favorite kwa kuchagua mkusanyiko unaofaa.

Mbali na hili, bar ya utafutaji pia hutolewa kwenye tovuti hii ili kutafuta movie moja kwa moja. Tovuti pia hutafuta baadhi ya makundi kama Dubbed Movies, Old Movies, Comedy Movies na mengine zaidi.

MovieLoverz.com

Hapa inakuja tovuti ambayo unapaswa kuandika jina la movie kwenye ukurasa wa Facebook na tovuti itapakia uchaguzi wako. Je, si ajabu. Zaidi ya hayo tovuti hubeba makundi mbalimbali ili kupakua sinema kamili za Bollywood Movies, Marathi Movies, Bhojpuri Movies, Punjabi Movies na nyingine nyingi zaidi kwenye simu yako kulingana na uchaguzi na matakwa yako.

3GpMovies.in

Ikiwa wewe ni mtumiaji wa Simu ya Mkono ya Java, Nokia S60v3, Nokia S60v5, Android na Blackberry basi hii ni tovuti bora zaidi ya kupakua sinema bure kwenye kifaa chako cha mkononi.

Mbali na movies, tovuti pia inakuwezesha kupakua video, programu, michezo, sauti za simu nk. Kwa hiyo, sasa jiandikishe kwenye tovuti hii na ufurahie matumizi bora ya huduma tofauti zinazotolewa na tovuti.

Ni hayo tu ! Hizo ni tovuti  10 za kupakua sinema bila malipo kabisa. Kwa hivyo, marafiki furahieni kupakua bure filamu unazozipenda.

Mbali na tovuti hizi, Showbox ni chaguo jingine zuri la kupakua sinema katika kifaa chako. Unaweza kupakua Showbox APK kwenye simu yako.

Kwa Habari Zaidi Na Maujanja Mbalimbali Ya Teknolojia Endelea Kutembelea Mtandao Wako Pendwa Wa Mediahuru Kila Siku Kwani Daima Tunaaminika Katika Teknolojia!

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA