Nyingine

Kuangalia porno hufanya Wanaume wajinga – Wanasayansi

Kuangalia sana p0rn kunafanya wanaume wawe wajinga, wanasayansi wamebaini.

Utafiti uliofanywa na watafiti wa Ujerumani katika Taasisi ya “Max Planck Institute for Human Development” umegundua kuwa watu ambao wanaangalia p0rn kupitiliza akili zao huwa ndogo kuliko wanaume ambao mara chache huangalia p0rn. Na si hilo tu, watu hawa pia huwa na striatum ndogo – sehemu ya ubongo ambayo ina process ‘rewards na motivation’ – hii imefanya wanasayansi waamini kwamba picha za uchi uharibifu sehemu hiyo.

Mwandishi wa utafiti huo, Simone Kühn, hakuweka wazi kama kuangalia porn ndio kunachangia kuwepo kwa mabadiliko haya ya ubongo au watu waliozaliwa na aina fulani ya ubongo huangalia p0rn zaidi jambo pekee lililowekwa wazi ni kuwa- wanaume wenye akili ndogo hupenda kuangalia picha/video za uchi.

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close