Home Nyingine KITUO CHA MAFUTA CHATEKETEA KWA MOTO HUKO TEGETA JIJINI DAR LEO

KITUO CHA MAFUTA CHATEKETEA KWA MOTO HUKO TEGETA JIJINI DAR LEO

0
0

Kituo cha mafuta cha Petro kilichopo eneo la Tegeta kikionekana kuteketea kwa moto asubuhi hii, huku chanzo kikidaiwa kuwa ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kituoni hapo kushika moto inaelezwa kuwa Gari hilo limeteketea lote huku sehemu ya kituo hicho pia imeteketea. Kikosi cha zimamoto kipo eneo la tukio kukabiliana na janga hilo.

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *