Nyingine

Kikosi cha PFA: Chelsea na Tottenham watawala kikosi cha wachezaji 11 bora Uingereza

Chelsea na Tottenham zote zina wachezaji wanne kwenye kikosi cha Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) mwaka huu.

Mabeki wa Chelsea Gary Cahill na David Luiz pia kiungo N’Golo Kante na Eden Hazard wameiwakilisha Chelsea kwenye kikosi hicho.

Tottenham imewakilishwa na mabeki Kyle Walker na Danny Rose,pia kiungo Dele Alli na mshambuliaji Harry Kane.

Kipa wa Manchester United David de Gea, mchezaji wa Liverpool Sadio Mane na mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku wameingia kwenye kikosi hicho.

 

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *