Nyingine

Kanye West vs Kylie Jenner? Vipodozi vya Kylie Jenner Sasa Kupata ushindani kutoka kwa Kanye West

Rapper, Kanye West  na shemeji yake , Kylie Jenner wataanza kushindana karibuni kwenye biashara ya vipodozi. Kanye amefungua “legal docs” kutangaza nia yake ya kuzalisha bidhaa za DONDA brand makeup, perfumes, lotions na vipodozi vingine.

Donda ni jina la marehemu mama yake Kanye na maombi yake ya kutumia jina hilo kwajili ya  cosmetics line yanashughulikiwa kwa sasa.

Vipodozi vya Kylie, hasa lip kits vimeuza kwa wingi ndani ya muda mfupi na kwenye baadhi ya mitandao vimeonekana vikiuzwa kwa mala ya pili kwa bei mara 10 ya bei halisi ya bidhaa hizo ..

Chanzo: TMZ

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *