Kanuni za Kubeti na Jinsi ya Kutabiri Mpira wa Miguu


Kubeti mpira wa miguu kwa ujumla hufanywa na aina mbili za wazee wa kuweka mzigo: Wale ambao wanabeti kushindakupata hela na wale ambao wanabet kwa ajili ya kufurahisha nafsi.

Kanuni za Kubeti

Haijalishi ni aina gani ya kubeti, lengo kuu ni kuishinda kampuni ya betting. Ingawa mpira wa miguu hautabiriki (ndio inafanya mpira kupendwa zaidi), mbinu za kubeti zinaweza kufuatwa ili kuongeza uwezekano wa kushinda.

Daima zingatia mbinu hizi kabla ya kufanya utabiri wa mechi na pia fuata kanuni rahisi kwa betting mafanikio:

   • Bet kiwango unacho kimudu tu.
   • Ufahamu mfumo wako wa kubeti na kisha shikamana nao.
   • Usicheza kwenye timu au ligi ambazo huzijui kabisa.
   • Usiwe na ujasiri sana kwa sababu mpira hautabiriki.
   • Kwa ujumla, ni vizuri kubeti kwenye mechi za ligi, kwa sababu fomu ya timu ya hivi karibuni ni thabiti tu ndani ya mipaka ya ligi hiyo.
   • Usibeti mwanzoni mwa msimu. Hii ni muhimu kuchambua fomu ya hivi karibuni ya timu
   • Epuka ushawishi wa nje na shikilia uchambuzi na maamuzi yako.
   • Jifunze kwa makosa yako na / au uzoefu.
   • Angalia odds nzuri za mkeka wako kwenye app za kampuni mbalimbali za kubeti . Kulinganisha kiwango cha pesa unachoweza kushinda kutoka kwa kampuni tofauti za kubeti, hasa unapoweka bets nyingi ni muhimu.
   • Ni vizuri kubeti odds zinapokuwa nzuri kwa upande wako. Usibeti tu kwa sababu unataka kubeti.
   • Weka timu chache kwenye mkeka wako. Timu 4 na kuendelea mkeka wako unaweza kutoa faida kubwa lakini pia ni ngumu zaidi kubashiri timu zote.
   • Ni vizuri kuweka rekodi ya mikika yote uliyowahi kucheza, pesa ulizoshida na kupoteza. Hii itakusaidia kuchambua tatizo lipo wapi.
   • Acha kubeti ikiwa siku sio nzuri kwako.
   • Mwisho lakini muhimu zaidi ni suala la nidhamu. Betting ni kuhusu kuwa mtulivu na kuwa mpole hasa baada ya kushinda dau refu au kupoteza. Ikiwa umeteseka kwa kupata hasara kubwa usiminyane kwa kubeti kiwango kikubwa zaidi na kuongeza hasara kwako. Pia kushinda pesa nyingi kusikuchanganye na kukufanya ukawa unataka kubeti mara nyingi na kwa mara kwa mara, hatimaye ukasababisha hasara.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA