“Kamwe Usimpende mwanamke kuliko yeye anavyokupenda ” – AKA

Rapper kutoka Afrika ya Kusini, AKA ambaye ambaye Ijumaa hii alitangaza kupitia mtandao wa Twitter kumwagana na mpenzi wake...

2 3
2 3

Rapper kutoka Afrika ya Kusini, AKA ambaye ambaye Ijumaa hii alitangaza kupitia mtandao wa Twitter kumwagana na mpenzi wake Bonang Matheba, leo kupitia mtandao huo wa kijamii ameshare post hiyo hapo juu…

Japo mpaka sasa mashabiki wa couple hiyo wakisubiri kwa hamu kujua kama ni kweli au ni uongo, Bonang mpaka sasa hajazungumza chochote japo tayari alishatambulishwa kwa ndugu wa AKA.

In this article

Join the Conversation

3 comments

 1. David Msuka       Reply

  Ukweli mtu, Mwanaume wa kweli anatumia neno moja tu kufikisha ujumbe

 2. Alex Sanga       Reply

  Wizi tu mapenzi ya siku hizi ni mwendo wa kudanganyania tu

  1. Baby Janet       Reply

   Alex nyie wanaume ndo waongo mtu hata kama ana mapenzi ya kweli nyie mnakuwa hampo real kabisa