Nyingine

Jose Mourinho Amemwonya DeGea Kutovurugwa Na Uvumi Wa Kuhamia Real Madrid

Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho, amemuonya David De Gea, kwamba asichanganywe na uvumi kuhusu yeye kujiunga na Real Madrid kwenye majira ya joto.

Mourinho amesema kipa huyo kutoka Hispania inatakiwa aweke umakini kwenye mechi zilizobaki msimu huu ambazo ni muhimu kwa United.

De Gea alikosa ushinda wa United dhidi  ya Sunderland mwishoni mwa wiki iliyopita na meneja wake alieleza  kwamba aliachwa nje kwa sababu ya “Jeraha dogo”.

Mourinho amesema hafatilii masuala ya uvumi na mchezaji anatakiwa kutoruhusu uvumi umuathiri kwa sababu wanacheza mechi muhimu sana na kila mechi ni muhimu katika Ligi Kuu.

“I am not interested in the speculation, I think if the player is [affected by it], he shouldn’t, because we are playing very important games and every match is crucial in the Premier League.

“If we lose a match, the top four gets almost impossible, in the Europa League if we lose a match we are in trouble, so every match demands from every one of us top focus.

“I don’t see that being a problem with David. The end of season is a time where players can be – can be – thinking about their future,”

SOMA NA HII:  80% watashindwa mchezo huu: ni Glass gani itajazwa kwanza?

Zinazohusiana

JIUNGE NA MAZUNGUMZO, TOA MAONI YAKO HAPA

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako