Kuweka pesa kwa M-PESA

Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa kutumia Vodacom M-PESA

 • Hatua 1: Bonyeza *150*00# kwenye simu yako.
 • Hatua 2: Chagua 4 kulipa kwa M-PESA.
 • Hatua 3: Chagua namba 4 na ingiza namba ya biashara ya Meridianbet.
 • Hatua 4: Namba ya Biashara ya Meridianbet ni 170066.
 • Hatua 5: Ingiza AKAUNTI yako kama kumbukumbu.
 • Hatua 6: Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya Meridianbet katika pesa ya kitanzania.
 • Hatua 7: Ingiza neno lako la M-PESA la siri na kumbuka kutoka kuwaga kwa mtu yeyote.
 • Hatua 8: Chagua 1 kuhakiki dharura na subiri uone pesa yako kwenye akaunti yako ya Meridianbet.
SOMA NA HII:  Faida za Kufanya Partition Kwenye Harddisk ya Kompyuta

Inaweza kuchukua lisaa limoja pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Endapo utapata tatizo lolote kuhusiana na kuwekewa pesa usisite kuwasiliana na kitengo Huduma kwa Wateja.

Kuweka pesa kwa TIGO Pesa

Namna ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa kutumia TIGO Pesa

 • Hatua ya 1: Bonyeza *150*01# kwenye simu yako
 • Hatua ya 2: Chagua 4 kwa “Malipo” kwenye menu yako ya Tigo Pesa
 • Hatua ya 3: Chagua 3 kwa “Lipa kwa Kampuni”
 • Hatua ya 4: Chagua 2 kwa “Ingiza Namba ya Biashara”
 • Hatua ya 5: Ingiza namba ya biashara “444999”
 • Hatua ya 6: Ingiza tu *Akaunti ID yako ya Meridianbet.co.tz *kama namba ya kumbukumbu
 • Hatua ya 7: Ingiza kiasi unachotaka kulipa. KIASI CHA CHINI UNACHOWEZA KUWEKA NI SHILINGI 1,000 ZA KITANZANIA
 • Hatua ya 8: Thibitisha taarifa na Ingiza PIN. Kamwe usigawe PIN yako kwa mtu yeyote!
SOMA NA HII:  Jinsi ya Kutambua betri na simu ya Tecno kama ni fake au origino

Inaweza kuchukua mpaka muda wa saa 1 kwa pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Endapo unahitaji taarifa zaidi, usisite kuwasiliana na Huduma kwa Wateja.

Kutoa pesa kwa kutumia M-PESA

Namna ya kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yako ya Meridianbet.co.tz kwenda kwenye akaunti yako ya Vodacom M-PESA

MUHIMU: Wakati wa kutoa kwa M-Pesa, utakuwa na uwezo wa kutoa tu kwenda kwenye namba ambayo umefanyia muamala wa kuweka pesa kwa mara ya mwisho.

 • Hatua ya 1: Bonyeza kwenye My Account (Akaunti Yangu)
 • Hatua ya 2: Chagua Kuweka/Kutoa (Deposit/Withdraw)
 • Hatua ya 3: Chapa sehemu ya kiasi kuweka kiasi cha pesa unachotaka kutoa (shilingi za Kitanzania)
 • Hatua ya 4: Chagua Aina ya Malipo (Payout Type): Malipo – Vodacom M-Pesa (Payout – Vodacom M-PESA)
SOMA NA HII:  Mbinu za Kubeti Mpira wa Miguu na Kushinda

Inaweza kuchukua mpaka muda wa masaa 24 kwa pesa kuonekana kwenye akaunti yako ya M-Pesa.

Sambaza:

Written by Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako