Jinsi ya Kujiunga Kuweka Pesa na Kucheza mkekabet


Tanzania kwa sasa mkekabet ndio kampuni kubwa inayojihusisha na mchezo wa bahati nasibu ya kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali [betting]. Mkekabet wamerahisisha namna ya kubet kwa mtandao kupitia tovuti yao ya www.mkekabet.co.tz na wana machaguo [options] mengi katika michezo mbali mbali hivyo kukupatia uwanja mpana wewe mchezaji kuchagua unachotaka. Pia wamerahisisha namna ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako kwani unaweza kutumia hata njia ya M-Pesa ambayo ni rahisi zaidi ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako ya mkekabet.

KUJISAJILI KWA KUWEKA PESA KWA NJIA YA SMS

Kwa njia ya Vodacom

 • Bonyeza *150*00# kupata menu ya M-pesa
 • Chagua namba 4-lipa kwa Mpesa
 • Chagua namba 4 weka namba ya kampuni 238844
 • Weka namba ya kumbukumbu ya malipo andika Mkeka
 • Weka kiasi cha pesa kiwango cha chini Tsh 1000
 • Weka namba yako ya siri
 • Kisha bonyeza 1 kuthibitisha muamala.
 • Muamala wako utathibitishwa na kutumiwa PIN kwa njia ya ujumbe mfupi.

Kwa njia ya Tigo

 • Bonyeza *150*01# kupata menu ya tigo pesa
 • Bonyeza namba 4 lipa kwa kampuni
 • Chagua namba 3 weka namba ya kampuni 238844
 • Weka kiasi cha pesa (Tsh 1000 kiwango cha chini)
 • Weka kumbukumbu kwa kuandika neno Mkeka
 • Muamala wako utathibitishwa na kutumiwa PIN kwa njia ya ujumbe mfupi.

Kwa njia ya Airtel

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5 lipa bili
 • Chagua 4 weka namba ya kampuni ambayo ni 238844
 • Ingiza kiasi
 • Ingiza namba ya kumbukumbu ambayo ni mkeka –
 • Ingiza pin yako ya airtel money. .
 • Muamala wako utathibitishwa na kutumiwa PIN kwa njia ya ujumbe mfupi.

JINSI YA KUWEKA PESA

Kwa njia ya Vodacom

Bonyeza 15000# kupata menu ya M-pesa-Chagua namba 4-lipa kwa Mpesa-Chagua namba 4-Weka namba ya kampuni 238844-Weka namba ya kumbukumbu ya malipo andika Mkeka-Weka kiasi cha pesa (kiwango cha chini Tsh 1000)-Weka namba yako ya siri-Kisha bonyeza 1 kuthibitisha muamala.

Utarudishiwa ujumbe mfupi ukionyesha kiwango cha pesa ulichoweka pamoja na salio lililopo katika akaunti yako.

Kwa njia ya Tigo

Bonyeza 15001# kupata menu ya tigo pesa-Bonyeza namba 4 lipa kwa kampuni-Chagua namba 3-weka namba ya kampuni 238844-Weka kiasi cha pesa(Tsh 1000 kiwango cha chini)-weka kumbukumbu kwa kuandika neno Mkeka-Weka namba yako ya siri na kisha thibitisha muamala wako.

Utarudishiwa ujumbe mfupi ukionyesha kiwango cha pesa ulichoweka pamoja na salio lililopo katika akaunti yako.

Kwa njia ya Airtel

Piga 15060#, Chagua 5 lipa bili, Chagua 4 weka namba ya kampuni ambayo ni 238844, Ingiza kiasi, Ingiza namba ya kumbukumbu ambayo ni mkeka, Ingiza pin yako ya airtel money.

Utarudishiwa ujumbe mfupi ukionyesha kiwango cha pesa ulichoweka pamoja na salio lililopo katika akaunti yako.

Jinsi ya kupiga online.

 1. Tembelea tovuti ya www.mkekabet.com

 2. Ingiza namba yako ya simu na PIN

 3. Sign In

 4. Chaguo mechi unazotaka kubeti

 5. Chagua dau unaloweka

 6. Bofya Bet now kukamilisha bet yako

Kubet mechi moja

Michezo yote ya soka iliyowekwa katika viunganishi vya Mkekabet sms, michezo hiyo imeainishwa kama code za matukio ya mchezo na ubashiri unatambulika kama code za masoko.

Code za Tukio

 

Tukio

 

1

 

X

 

2

 

5555 Liverpool vs Chelsea 2.00 3.00 3.20

Timu ya nyumbani kushinda = (1), Sare = (X),Timu ya ugenini kushinda = (2)

Baada tu ya kuweka umeweka pesa katika akaunti yako, bet inaweza kutumwa kwa njia ya SMS kwa kufuata hatua hizi:

Tuma ujumbe huu mfupi kwenda 15739 “Bet” kisha acha nafasi kisha weka code ya tukio la mchezo, kisha weka ubashiri wa timu kushinda ndani ya dakika 90 za mchezo kisha weka kiasi cha pesa utachotumia kwa ubashiri. Mfano “Bet 5555#1*1000” ni bet ya Liverpool kushinda chezo wake akiwa nyumbani kwa kiwango cha pesa cha ubashiri Tsh 1000.

“5555”=Code ya tukio la mchezo, “1”=code ya soko la bashiri, “1000” kiwango cha pesa kilichotumika katika bashiri. Bet itakuwa imekamilika pindi utapokuwa umepatiwa ID yako baada ya kutuma bet

Ushindi hupatikana kwa kuzidisha idadi ya odds pamoja na kiwango cha pesa ulichoweka katika bet yako{mfano 2.00*1000=2000/

Ukibet kwa njia SMS utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wa bet yako uliyotuma.

Kutuma bashiri ya mechi nyingi

Kwa michezo yote ya soka iliyoainishwa na Mkekabet, kupitia code za mechi utaweza kufanya ubashili wa matokeo ya michezo.

Code za Tukio

 

Tukio

 

1

 

X

 

2

 

5555 Liverpool vs Chelsea 2.00 3.00 3.20
6666 Man UTD vs Arsenal 3.2 3.1 2

Timu ya nyumbani ushindi = (1), Sare = (X), Timu ya ugenini ushindi = (2)

Hatua ya 1

Tuma ujumbe huu mfupi kwenda 15739 “Bet” kisha acha nafasi kisha weka code ya tukio la mchezo, kisha weka ubashiri wa timu kushinda ndani ya dakika 90 za mchezo kisha weka kiasi cha pesa utachotumia kwa ubashiri, hii itafuatiwa na alama ya + endapo utahitaji kuongeza chaguo la pili la mchezo na kufanya bet yako kuwa bet ya mechi nyingi.

Mfano. Be 5555#1+6666#2*1000 ambapo “5555” & “6666” ni code za tukio la mchezo, “1&2” ni code za ubashiri wa masoko katika bet. Huu ni ubashiri kwa timu Liverpool kushinda mchezo akiwa nyumbani pamoja na Arsenal kushinda mchezo akiwa ugenini kwa kiwango cha pesa cha kubashiria Tsh 1000

Hatua ya 2

Bet itakuwa imekamilika pindi utapokuwa umepatiwa ID yako baada ya kutuma bet Ushindi utahesabika kwa kuzidisha idadi ya odds ama point na kiwango cha pesa ulichoweka{mfano 2.002.001000=4000}
Ukibet kwa njia SMS utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho kwa bet yako uliyotuma.

MASOKO YA ODDS PAMOJA NA CODE ZA MECHI KWA WANAOBET KWA NJIA YA SMS

Code

 

Ubashiri
Match Result

 

1 Timu ya nyumbani kushinda mchezo.
X Mchezo kuhitimishwa kwa sare
2 Timu ya ugenini kushinda mchezo
Handicap 0:1

 

HC01FT1 Timu ya nyumbani itapata ushindi wa handicap
HC01FTX Mchezo utamalizika kwa sare ya handicap
HC01FT2 Timu ya ugenini itapata ushindi wa handicap
Handicap 1:0

 

HC01FT1 Timu ya ugenini itapata ushindi wa handicap.
HC01FTX Mchezo utamalizika kwa sare ya handcap.
HC01FT2 Timu ya nyumbani itapata ushindi wa handcap
Double Chance

 

DC1X Timu ya nyumbani itaibuka mshindi ama mchezo utahitimishwa kwa sare
DC12 Timu ya nyumbani ama ya ugenini mojawapo itaibuka mshindi.
DCX2 Timu ya ugenini itaibuka mshindi ama mchezo utahitimishwa kwa sare.
Draw No Bet

 

DNB1 Timu ya nyumbani kushinda na iwapo mchezo utahitimishwa kwa sare utarudishiwa pesa yako.
DNB2 Timu ya ugenini itashinda na iwapo mchezo utahitimishwa kwa sare basi utarudishiwa pesa yako
Over/Under 2.5

 

OG25 Yapatikane magoli 3 au zaidi katika mchezo
UG25 Yapatikane magoli 2 ama chini ya hayo.
Over/Under 2.5 half time

 

OHTG25 Yaopatikane magoli 3 ama zaidi ya hayo.
UHTG25 Yapatikane magoili 2 ama chini ya hayo.
GG Timu zote zitafungana
NG Timu zote hazitafungana
Half Time / Full Time HTFT11 Timu ya nyumbani kuongoza kipindi cha kwanza lakini pia timu hiyo ya nyumbani kumaliza mchezo huo kwa ushindi.
HTFT1X Timu ya nyumbani kuongoza kipindi cha kwanza na mwisho mchezo kumalizika kwa sare.
HTFT12 Timu ya nyumbani kuongoza kipindi cha kwanza lakini timu ya ugenini kumaliza mchezo huo kwa ushindi.
HTFTX1 Mchezo kumalizika kwa sare katika kipindi cha kwanza na timu ya nyumbani kuibuka na ushindi baada ya mchezo kukamilika.
HTFTXX Mchezo kumalizika kwa sare katika kipindi cha kwanza na mchezo huo pia kumalizika kwa sare baada ya mchezo kumalizika.
HTFTX2 Mchezo kumalizika kwa sare katika kipindi cha kwanza na timu ya ugenini kushinda mchezo baada ya muda wa mchezo kumalizika.
HTFT21 Timu ya nyumbani kupoteza kipindi cha kwanza na timu ya ugenini kumaliza mchezo huo kwa ushindi
HTFT2X Timu ya nyumbani kupoteza kipindi cha kwanza na kumaliza mchezo baada ya vipindi vyote viwili kwa sare.
HTFT22 Timu ya nyumbani kupoteza mchezo katika kipindi cha kwanza na kushinda mchezo huo baada ya muda wa mchezo kwa vipindi vyote kumalizika

KUTOA PESA

Hakuna makato wakati wa kutoa fedha
Tuma herufi W acha nafasi kisha weka kiasi alafu tuma ujumbe huo kwenda 15739 mfano. W 500 tuma kwenda 15739, usisahau kuacha nafasi kati ya herufi W na kiwango cha pesa
Kiwango cha chini cha kutoa ni Tsh 2000

Jinsi ya kupata PIN mpya

Tuma neno “Pin” kwenda 15739. Utarudishiwa SMS yenye PIN yako mpya. Pin hii itatumika utapoingia katika tovuti yetu www.mkekabet.com

Jinsi ya kujua salio

Tuma neno “Bal” kwenda 15739na utarudishiwa ujumbe kuonyesha salio lako lililopo.

Kusitisha bet

Pindi bet inapotumwa na kuthibitishwa haiwezi kufutwa ama kufanyiwa marekebisho.

One Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA