Jinsi ya Kufurahia Zaidi Michezo ya Kubahatisha “Kubeti”


Kila mtu anapenda kufurahi anapofanya bashiri za michezo kwa kutumia mtandao maarufu kama kubeti. Leo nimekusogezea muongozo kiasi kwajili ya wale walio wahi kupata matatizo na wengine wanaopenda kujifunza kuhusu betting (wazee wa kuweka mzigo – kubet)

kubet

Kumbuka ingawa waendeshaji wa michezo ya kubahatisha wanatoa nyenzo ambazo mtu binafsi anaweza kuzitumia kuongoza bashiri zake, waendeshaji wa michezo ya kubahatisha hawatoi muongozo hivyo sehemu kubwa mtu binafsi anatakiwa kujiongoza mwenyewe kwenye kubet.

Tunatoa muongozo wa kina na chaguzi tofauti jinsi ya kumsaidia mtu kwenye michezo ya kubahatisha na namana ya kufanya bashiri.

SOMA NA HII:  Jinsi ya Kuflash Simu za Tecno kwa Urahisi

Fata hatua hizi rahisi kukinga matatizo ya kubet/michezo ya kubashiri:

  1. Weka kiasi cha ukomo wa idada ununuzi, kiasi cha pesa ya kubahatishia (kubet),na kukosa kabla ya kubashiri.
  2. Jiwekee mpaka wa amana ya akaunti yako/akiba.
  3. Jiwekee mpaka wa muda/ukomo kabla ya kuanza kubashiri na weka kengele ya kukukumbusha baada ya michezo.
  4. Usiruhusu kamari kuingilia maisha yako ya kila siku na hakikisha umefanya majukumu yako yote kabla ya kubashiri/kucheza kamari.
  5. Usiwekee kamari kama njia mbadala ya kukuingizia pesa au kurudisha madeni.
  6. Usicheze kamari kama wewe bado upo chini ya utegemezi wowote au ukiwa chini ya ushawishi wa pombe au mambo mengine
SOMA NA HII:  Jinsi Ya Kufuta Akaunti Yako Ya Facebook Moja Kwa Moja!

Matatizo ya kamari yanaweza kufika mbali na inaweza kuwa na athari kubwa katika maisha ya watu. Ni muhimu kufahamu jinsi ya kujiongoza.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA