Jinsi ya Kubet na Sportpesa na namna ya kucheza


SportPesa ni jukwaa linalokuwezesha kutabiri na kuweka bet kwenye mechi unayoipenda.Inatoa nafasi ya kutabiri kwa michezo ya kitaifa na kimataifa.

Sportpesa

Sportpesa haina mawakala wala vituo inachezeshwa kwa njia ya online au sms. Unatakiwa kujisajili ndio uweze kucheza. Ili uweze kucheza na sportpesa lazima ujiunge kwanza kwa njia ya mtandao au meseji. Kujisajili ni bure kabisa.

Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kujisajili kubashiri SportPesa Tanzania.

Unaweza kuweka bet zako kwa njia ya sms kwenda 15888, au kupitia Programu ya android ya SportPesa, au mtandaoni kwenye www.sportpesa.co.tz au kupitia USSD kwa kupiga 15087#. Unaweza kuweka bet zako ukiwa mahali popote, kabla ya filimbi ya kwanza ya mwamuzi kwa ajili ya masoko ya kabla ya mechi au kucheza moja kwa moja kwenye masoko ya kubet mubashara.

SOMA NA HII:  Q & A: Je PIN ya tarakimu 6 kweli ni salama zaidi kuliko PIN ya tarakimu nne?

Cheza kwenye Jackpot kwa TZS 2000 tu. Kwa sasa, TZS 2000 ni donge nono kwani unaweza kushinda angalau TZS 200,000,000 unapocheza kwenye Jackpot.

One Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA