Jinsi ya kubashiri/kubet na M-Bet


Hatua ya kwanza:

Bonyeza kwenye kitufe cha bashiri za michezo.

Hatua ya pili

Itakapo funguka itakuonesha michezo yote ya kusisimua ya siku pamoja na pointi nzuri za ushindi, Bonyeza/Bofya kwenye pointi za michezo kuchagua ubashiri wako ,kumbuka kiasi cha chini cha michezo.

Hatua ya tatu

Ukimaliza kuchagua mechi utakwenda kwenye M-Bet Calculator!

Katika M-bet Calculator utachagua mambo mawili:

  • Kiasi unachotaka kubet (itakuonyesha kiasi unachoweza kushinda)
  • Na operator (M-Pesa au Tigo Pesa au Airtel Money).

Mara baada ya kufanya mambo hayo mawili bonyeza SUBMIT BETTING SLIP (MALIZA) ili uweze kuhamia kwenye hatua ya mwisho.

Hatua ya nne

Ili kulipia tiketi unatakiwa kwenda kwenye M-Pesa au Tigo Pesa au Airtel Money na ufuate maelekezo hapa chini:

  • Tafadhali piga M-Pesa *150*00# na kuweka namba ya biashara 300300 na namba ya kumbukumbu 10333.
  • Tafadhali piga Tigo Pesa *150*01# na kuweka namba ya biashara 300300 na namba ya kumbukumbu 87760.
  • Tafadhali piga Airtel Money *150*60# na kuweka namba ya biashara 300300 na namba ya kumbukumbu 10333.

Ni hivyo tu!!!!

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA