Maujanja

Jinsi ya Ku-Update Simu Yako ya Android

on

Leo Mediahuru inakufundisha jinsi ya kuboresha (ku update) simu ya Android au mfumo wa uendeshaji wa tablet. Wakati simu yako ya Android inaweza kujisasisha yenyewe moja kwa moja, unaweza kuongeza kasi ya mchakato wa update kwa kuupdate wewe mwenyewe mara tu unapojua kuna update zinapatikana.

Kama unatumia simu ya Android basi kuna uwezekano wa wewe kufanya kitu kinachoitwa update kwa urahisi zaidi. Hii itakusaidia wewe kuweza kupata vitu vipya ambavyo vinatakiwa kuingia kwenye simu yako (New android features).

Ili uweze kufanya update ya simu yako ya Android unapaswa kufanya yafuatayo:

  • Hakikisha simu yako ina intaneti ya kutosha au umeunganishwa na Wi-Fi yenye nguvu.
SOMA NA HII:  Uchambuzi wa simu ya Infinix Hot 5 Lite na Bei yake nchini Tanzania

Kufanya hivyo, tafuta icon ya Wi-Fi Image titled Android7wifi.pngkwenye skrini ya Android yako; bonyeza ili kuwezesha Wi-Fi kabla ya kuendelea.

  • Fungua Settings.

Nenda kwenye simu yako ya android kisha ingia kwenye setting Image titled Android7settings.png

  • Bonyeza About device.

Baada ya kufungua setting shusha chini hadi kwenye About device. Chaguo hili lipo karibu na mwisho wa ukurasa.

  • Kisha, bonyeza Software update.


Nendwa kwenye Software update. Ni juu ya skrini. Inategemea na simu yako ya Android, inaweza kuandikwa “System Update” au kitu kingine.

  • Bonyeza Check for updates


Kwenye vifaa vingine vya Android, ukibonyeza Software update utakuwa umeiwezesha Android yako kutafuta update.

  • Bonyeza Update
SOMA NA HII:  Simu za Bei Nafuu - Bei za Simu za Mkononi Tanzania - 2017


Ikiwa kuna update zinapatikana kwa ajili ya kifaa chako cha Android, utakuwa na chaguo Update au Install.

Ikiwa hutaona sehemu ya Update, ujue kifaa chako cha Android kipo up-to-date.

 • Bonyeza Install au Update

Chaguo hili litaonekana kwenye pop-up window. Kufanya hivyo utaanza kuinstall Android operating system update.

About Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published.