Sambaza:

Ikiwa unataka kutumia mpangilio wa keyboard wa Dvorak na unatumia Windows, unaweza kufuata hatua zilizopo hapa chini.

Kidokezo: Hata kama unatumia kibodi ya QWERTY, bado unaweza kutumia mpangilio wa DVORAK ingawa inaweza kuwa vigumu zaidi kutumia.

keyboard

Kubadilisha mpangilio wa kibodi kwenye Windows 8 na 10

  1. Fungua Control Panel
  2. Chini ya sehemu ya Clock, Language, and Region, bofya Change input methods
  3. Bonyeza Options link kwajili ya kibodi yako.
  4. Bonyeza Add an input method.
  5. Chagua mpangilio wa Dvorak unaotaka kutumia.

Kubadilisha mpangilio wa kibodi kwenye Windows Vista, 7, na matoleo mengine

  1. Fungua Control Panel
  2. Chini ya sehemu ya Clock, Language, and Region, bofya Change keyboards or other input methods.
  3. Bonyeza Change keyboards button.
SOMA NA HII:  Jinsi ya Kurekebisha "Display Problems" kwenye Windows kwa kutumia Driver Update

Bonyeza Add na chagua moja ya Dvorak keyboards unayotaka. Ikiwa unataka mpangilio wa Kiingereza wa Dvorak (English Dvorak layout), shusha chini hadi kwenye English na uchague Dvorak, Dvorak kwajili ya mkono wa kushoto, au Dvorak kwajili ya mkono wa kuume, kulingana na upendeleo wako.

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako