Nyingine

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kuzindua Klabu za Elimu ya Uzimaji Moto Shule za Sekondari

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, ameeleza mipango mbalimbali ya jeshi hilo ikiwemo uzinduzi wa klabu katika shule za sekondari nchini, zitakazotoa elimu ya uzimaji moto kwa wanafunzi.

Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo), jijini Dar es Salaam leo.


Waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wakuelezea mipango mbalimbali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ikiwemo uzinduzi wa klabu katika shule za sekondari nchini, zitakazotoa elimu ya uzimaji moto kwa wanafunzi, wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa jeshi hilo, Thobias Andengenye wakati wa mkutano huo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari(Maelezo), jijini Dar es Salaam.

Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

SOMA NA HII:  80% watashindwa mchezo huu: ni Glass gani itajazwa kwanza?

Zinazohusiana

JIUNGE NA MAZUNGUMZO, TOA MAONI YAKO HAPA

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako