Mawasiliano ya simu

Je unatumia vifurushi gani vya Intaneti kwenye simu yako ya mkononi ?

Hali inazidi kuwa tete kwa watumiaji wa mtandao wa intaneti kutokana na vifurushi vya intaneti kupunguzwa kila siku ama kupanda bei huku matumizi ya intaneti kwenye simu za mkononi yakiongezeka kwa kasi.

Njia za mawasiliano zimebanwa sana na nyingi bado hazitoi huduma bora.

Najua kila mtu kuna vifurushi vya intaneti kutoka mtandao flani wa simu anavitumia zaidi kuliko mitandao mingine.

Kwa lengo la kupeana taarifa na kujua vifurushi bora vya intaneti, tuambie wewe unapenda kutumia kifurushi gani cha intaneti kwenye simu yako ya mkononi ?

SOMA NA HII:  TTCL YAZINDUA HUDUMA YA 4G LTE MBEYA
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.