Kompyuta

Je, Unapenda Laptop Aina Gani ?

Katika soko la laptop nchini Tanzania, Dell inaonekana kuwa maarufu sana – ndivyo ninavyofikiri !

Kuna aina nyingi za laptop ikiwa ni pamoja na:

  • HP
  • Dell
  • Apple
  • Toshiba
  • Microsoft
  • Acer
  • Samsung
  • Asus &
  • nyingine

Tusisahau kuhusu Google’s Chromebooks, ingawa kuna kitu kinaniambia soko lake nchini Tanzania ni dogo sana.

Mimi sio mgeni wa baadhi ya aina za laptops zilizotajwa hapo juu, ikiwa ni pamoja na Chromebook, lakini mara zote napenda kutumia HP , kwa sababu kubwa ya mazingira na ukweli kwamba naweza kutumia mifumo tofauti ya uendeshaji – Ubuntu na Windows- kwenye HP , vipi kwa upande wako, unapenda laptop aina gani?

SOMA NA HII:  Jinsi ya kuchagua rangi ya Website au Logo
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako