Simu za Mkononi

Je Unajua Betri za Simu za Android Zinawezakutumika Kukufuatilia

on

Simu za kisasa zinazotumia mfumo wa Android zinaweza kufuatiliwa kwa urahisi sana.

Uchunguzi umebaini kuwa simu zinazotumia mfumo huo zinaweza kufuatiliwa kwa urahisi mno pasi na kutumia kifaa cha GPS yake.

Utafiti umebaini kuwa betri za simu za android zinawezakutumika kufuatilia watumizi

Aidha simu hizo zinaweza kudukuliwa kwa kutumia matumizi ya betri yake huku utafiti ukisema kuwa simu zinazotumika karibu na kifaa cha kupeperushia masafa ya simu za kuungia mbali.

Simu za kisasa ”Smartphone” hutumia nguvu zaidi inapokuwa mbali zaidi na kifaa hicho cha kupeperushia masafa ya GSM, kwani inachangamoto tele za kungamua masafa.

SOMA NA HII:  Unamiliki simu ya iPhone ? Apple inapunguza kasi ya simu yako

Matumizi ya nguvu zaidi ya shughuli zingine yanaweza kubaiishwa na ”alogarithm” muundo msingi wa simu yenyewe.

Kuna mifumo 179 ambayo inapatikana kwenye Android ,timu hiyo iliongezea. Shughuli kama kusikiza muziki au kutumia mtandao wa kijamii kunamaliza betri ya simu lakini hii inaweza kupunguzwa kutokana na ‘’kujifunza kwa mashine’’ ripoti inasema.

Jaribio hilo lilifanyiwa kwa simu ambazo zinatumia mtandao wa 3G lakini haikuweza kupima nguvu kwa kuwa twakimu inalindwa na kifaa hicho.

About Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published.