Nyingine

JE SHULE ZA KATA ZINAANGAMIZA TAIFA ?

Baada ya kuwepo Kwa matokeo mabovu ya kidato cha nne kwa miaka minne mfululizo, watu wengi wanasema ubovu wa matokeo ya kidato cha nne umechangiwa kwa kiasi kikubwa na UWEPO WA SHULE ZA KATA ambazo kimsingi zina mapungufu mengi sana ikiwemo ukosefu wa walimu na vitabu.

Wengine wanasema shule hizi zimechangia kuongeza kwa mimba za utotoni pia wanafunzi kuoa/kuolewa.Hakuna uthibitisho katika hili ndio maana nikaona ni vyema tukijadili pamoja hapa mediahuru.

Je ni kweli shule hizi zimeongez matatizo? na je zingekuwa za bweni kusingekuwa na tatizo ?

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close