Home Nyingine Je, ni sahihi kwa mwanamke na mwanaume kuishi pamoja kiunyumba bila ya ndoa?

Je, ni sahihi kwa mwanamke na mwanaume kuishi pamoja kiunyumba bila ya ndoa?

0
0

JE, UNAWEZA kununua suti au vazi bila kwanza kulijaribu? Watu wengi hawawezi. Ukifanya hivyo halafu baadaye ugundue kwamba halikutoshi, utakuwa umepoteza wakati na pesa zako.

Watu wengi hutumia mfano huo kuhusu ndoa. Wanahisi kwamba ni afadhali mwanamume na mwanamke kuishi pamoja kabla ya kuoana kisheria.

Siku hizi kumezuka wimbi kubwa sana la vijana kuanza kuishi kiunyumba kama mke na mume na kuendelea kuzaa watoto bila ya ndoa.

Je, kitendo hicho ni sahihi?

Kuna madhara gani ya kuishi pamoja kabla ya kuoana?

Karibu toa maoni yako

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *