Elimu

Je kusoma Boarding school ni bora kwa mtoto wa kike au wa kiume?

Kuna tabia au mazoea mapya siku hizi ambapo wazazi wanaamua kupeleka watoto wao shule za bweni. Wengine wanafanya hivyo kuanzia chekechea.

Ila familia nyingi huwa zinachagua mtoto gani aende shule ya bweni, unakuta mtoto wa kike anapelekwa bweni wakati wa kiume anabakia nyumbani au kinyume chake.

Je, ni jinsia gani inafaidika zaidi kwa kusoma bweni?

Je, ni umri gani mzuri kwa mtoto kwenda bweni, kuna athari zozote za makuzi kwa mtoto?

SOMA NA HII:  Je, wanawake wanapuuzwa katika mazingira ya teknolojia ya Tanzania?

Zinazohusiana

JIUNGE NA MAZUNGUMZO, TOA MAONI YAKO HAPA

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako